Hey Miss Toronto Acha tu nikuite wa ndoto Kwa ulivo'niwasha moto Nilipokukwachua ki lotto Nikajua nimekuwin ki Porto Nilivokupigania ki-willy kiRuto Sikujua ki-Willy kilikuwa kiwiliwili Yaani kama kiwiliwili cha Willy Nikakosa mpaka nguvu kwa mwili Nikabaki tu kuona mbilimbili Na kuzubaazubaa kitumbili Huh kukosa option mbilimbili Sikujua lotto ngekuwa ndoto Na moyo kuwa hard kokoto Kwa kujiumiza pain kiroboto Maisha yakasokonya misokoto Sikujua sijakujua Miss Koto Na hizo dreams zako za Tokyo |From Lotto to Ndoto| From Lotto to Ndoto