Beb... sitachoka k'kwambia nakupenda Na makali ya hisia zangu juu ya penzi hili Nitazidi kumaanisha kile nacho kwambia kila uchao ntazidi k'ktumia jumbe zenye kufaa moyo wako kwa kuwa we ni wa maana Na kwamba ni wewe tuu pekee ambaye umefurahisha, si tuu Nafsi yangu, bali pia na hisia zangu. Nakushukuru sana Nakupenda na daima ntakupenda #penzi